Ujuzi na kanuni za Ujasiriamali

 Sura ya kwanza

  • Maana ya ujasiriamali,
  • Jinsi yakujengatabia za kijasiriamali 
  • Aina za ujasiriamali. 
  • Faida za ujasiriamali,
  • Makundi ya wajasiriamali,
  • Şifa za mjasiriamali,
  • Faida zakuwa mjasiriamaiibiashara
Sura ya pili

  • Mambo muhimu yakuzingatia katika ujasiriamali biashara. 
  • Fursa zakibiashara zinazopatikanakatika sehemu zenye mito, mabwawa, maziwa nabahari. 
  • Shughuli zinazofanyika mijini navijijini, sehemu zenye ufugaji nasehemu zenye viwanda.
  • Fursa za ujasiriamali zinazotokana na njia za uchukuzi
Sura ya tatu

  • Shughuli za ujasiriamali na namnazinavyochangia katika ukuaji wa uchumi,
  • Athari zinazowezakusababishwa na njiazisizo halali katika ujasiriamali. 
  • Mambo ya kuzingatia katika kutafuta masoko
Sura ya nne

  • Kujitafutia maarifa na ujuzi wa namna mpya ya kutenda Mambo ya kijasiriamali,
  • Kujitafutia maarifa na ujuzi kupitia ushiriki katika midahalo
  • Kujitafutia maarifa na ujuzikupitia udadisi
  • Wateja wabidhaa au huduma
  • Ufungashaji wabidhaa na vifaa vyakupimia
  • Udanganyifu katika biashara
Sura ya tano
  • namna yakumlinda mlaji dhidi yabidhaa zilizochotora
  • mbinu zakuvutia wateja. 
Sura ya sita

  • Utaratibu wa usimamizi wafedha
  • Kutunzakumbukumbu za mapato na matumizi
  • Umuhimu wakutunzakumbukumbu za fedha. 
  • Njia tofauti za kuhifadhi fedha
  • Kupanga bajeti
  • Kodi
  • Huduma za kifedha zitolewazo na benki