KISWAHILI || MASWALI NA MAJIBU KIDATO CHA KWANZA HADI CHA SITA

Tumia muongozo huu kupata umahiri wa jinsi ya kujibu maswali kwa usahihi, kwa kutumia muongozo huu utaweza kupata msingi bora wa kujibia maswali mbalimbali. 

MAENEO YALIYOGUSWA:

  1. Fasihi kwa ujumla
  2. Sarufi na utumizi wa lugha 
  3. Ufahamu na Utungaji
  4. Maendeleo ya kiswahili 
  5. Jinsi ya kujibu maswali ya vitabu