Ili kuweza kutumia App ya SchoolPvh Unatakiwa kulipia Ngazi ya Elimu unayoitaka Mfano, Primary/O-level/A-level/Ualimu
Hatua ya kwanza
Fungua app kisha chagua level unayotaka ili kulipia, kisha utabofya iyo level utapata ujumbe wa kukutaka ulipie
Baada ya kuchagua kiasi cha malipo utapata ujumbe kama unavoonekana kwenye picha hapa chini
Baada ya hapo utabonyeza Ok
Kisha utachagua M-Pesa
Kama inaovoonesha hapa chini
Ukuchagua mtandao wa kulipia Utakuletea sehemu ya kuandika Namba Yako Ya Vodacom Yenye Salio
Baada ya kukamilisha kuandika namba yako ya simu yenye malipo Utabofya Pay.
Baada kubonyeza pay itakuletea ujumbe kama huu hapa chini kwenye picha
Kisha utaingiza namba ya siri ya M-pesa yako au Airtel money yako
Baada ya kuingiza namba ya siri utabonyeza SEND
ENDAPO UTAPOKEA UJUMBE
Pia unaweza ukapokea ujumbe unaokutaka ukamilishe muamala
Mfano kama unatumia M-pesa Utapokea ujumbe kama huu
Baada ya kupokea ujumbe kama huo untakiwa kuingia kwenye menu ya kupiga kisha utaandika namba hii *150*00*22# kisha utabonyeza alama ya kupiga kama inavoonesha kwenye picha hapa chini
Baada ya kupiga iyo menu utaletewa ujumbe kama huu hapa chini
Baada ya kuletewa ujumbe kama huu
Utandika 1 kisha utabonyeza SEND
Baada ya kubonyeza SEND utaletewa ujumbe wa kuingiza namba ya siri
Utaingiza namba ya siri yako kisha utabonyeza SEND
Mwisho kabisa utakiwa kuthibitisha kwa kuchagua namba 1
Ukishaandika namba 1 utabonyeza SEND
Utaletewa ujumbe kama huu chini
Hapo Utapokea Ujumbe (sms) wa M-Pesa Kwamba umelipia PVH INNOVATION TANZANIA LTD
Kisha utafungua app ya schoolPvh na kuendelea kutumia Level uliolipia Bila shida
Endapo utapata changamoto yoyote tupigie au WhatsApp kwa namba zifuatazo
+255626272229
+255747272228
Au tutafute kupitia mitandao ya kijamii
Facebook https://fb.me/schoolpvh
Telegram https://t.me/schoolpvh1
Instagram https://Instagram.com/schoolpvh_tz
@SchoolPvhTeam