Elimu ya dini ya kiislamu kidato cha nne


Education is a profession that is enriched by human beings as soon as they are created so that they can live and achieve the goal of their creation on Earth. does not have to have all the disciplines in Environmental and Manual Education, the lack of one of which leads to a shortfall in the effective execution of its responsibilities which will lead to the achievement of the goal. 

Thus Islam will not reap its benefits until both the Environmental Education and Guidelines are read and implemented in full compliance

Malengo Mahsusi ya Somo la E.D.K. Kidato Cha nne
Baada ya kumaliza Kidato cha nne, mwanafunzi aweze;
  1. Kuelewa nguzo ya nne, tano na sita za imani ya Kiislamu.
  2. Kubainisha tofauti za msingi baina ya Uislamu na Dini zingine.
  3. Kuelewa mtazamo wa Uislamu juu ya madhehebu.
  4. Kufafanua kanuni na taratibu za fomilia ya Kiislamu.
  5. Kubaini fat-wa ya Uislamu juu ya kudhibiti uzazi.
  6. Kukokotoa mahesabu ya mi rath i kwa kuzingatia sheria ya Kiislamu.
  7. Kuelewa misingi ya sheria, uchumi na siasa katika Uislamu.
  8. Kuchambua udhaifu wa madai ya makafiri wa leo dhidi ya Qur'an.
  9. Kuchambua mafunzo ya sura zilizoteuliwa.
  10. 1(). Kubainisha mafunzo ya Hadith zilizoteuliwa.
  11. 11. Kuelewa mafunzo yatokanayo na historia ya Uislamu baada ya kulawafu Mtume (s.a.w) hadi

Click here to download all notes in our App

ADDITIONAL Book for FORM Four EDK
kitabu hiki cha pili cha 'Elimu ya Dini ya Kiislamu Shule za Sekondari". hiki ni kitabu cha kiada cha somo la Elimu ya Dini ya kiislamu kwa kidato cha NNE. mada za somo hili zimegawanywa katika fani tano 
imefanywa sura ya kitabu hiki kama ifuatavyo:
  1. Tawhiid
  2. Fiqh
  3. Qur’an
  4. Sunnah na Hadith
  5. Tarekh(Historia)