Elimu ya dini ya kiislamu kidato cha Tatu

Education is a profession that is enriched by human beings as soon as they are created so that they can live and achieve the goal of their creation on Earth. does not have to have all the disciplines in Environmental and Manual Education, the lack of one of which leads to a shortfall in the effective execution of its responsibilities which will lead to the achievement of the goal. 

Thus Islam will not reap its benefits until both the Environmental Education and Guidelines are read and implemented in full compliance

Ujuzi wa Somo la E.D.K. Kidato Cha Tatu
Baada ya kumaliza Kidato cha Tatu, mwanafunzi anatarajiwa kuwa na ujuzi wa;

  1. Kutambua vigezo vya kuonyesha kuwa Uislamu ndio dini sahihi.
  2. Kuthibitisha nguzo ya kwanza ya imani hadi ya tano.
  3. Kueleza aina za shirki na kina cha uovu wa shirki
  4. Kupambanua falsafa ya nguzo za Uislamu.
  5. Kutambua haki na uadilifu katika Uislamu. 
  6. Kueleza jinsi Quran ilivyohifadhiwa wakati wa Uthman (r.a).
  7. Kuthibithisha kuwa Quran ni kitabu cha Mwenyezi Mungu (s.w).
  8. Kutumia mafunzo ya sura zilizochaguliwa.
  9. Kutumia mafunzo ya Hadith zilizoteuliwa kwa mafunzo maalum.
  10. Kutambua uanzishwaji na uendeshwaji wa Dola ya Kiislamu Madinah wakati wa Mtume (s.a.w).

 Download all notes in our App





ADDITIONAL BOOK FOR FORM THREE EDK
kitabu hiki cha Tatu cha 'Elimu ya Dini ya Kiislamu Shule za Sekondari". hiki ni kitabu cha kiada cha somo la Elimu ya Dini ya kiislamu kwa kidato cha Tatu . mada za somo hili zimegawanywa katika fani tano 
imefanywa sura ya kitabu hiki kama ifuatavyo:
  1. Tawhiid
  2. Fiqh
  3. Qur’an 
  4. Sunnah na 
  5. Hadith Tarekh(Historia)