Elimu ya dini ya kiislamu kidato cha kwanza

Education is a profession that is enriched by human beings as soon as they are created so that they can live and achieve the goal of their creation on Earth. does not have to have all the disciplines in Environmental and Manual Education, the lack of one of which leads to a shortfall in the effective execution of its responsibilities which will lead to the achievement of the goal. 

Thus Islam will not reap its benefits until both the Environmental Education and Guidelines are read and implemented in full compliance
Malengo Mahsusi ya Somo la E.D.K. Kidato Cha Kwanza
Baada ya kumaliza Kidato cha Kwanza, mwanafunzi aweze;

  1. Kuelewa mtazamo wa Uislamu juu ya dhana ya elimu na dini.
  2. Kufahamu nguzo za Imani na nguzo za Uislamu.
  3. Kuelewa sharti na nguzo za  Swala.
  4. Kufahamu chimbuko la Fiqh.
  5. Kubainisha hukumu za usomaji Quran na kuisoma Quran kwa kuzingatia ahkami zake.
  6. Kuelewa mwenendo na matendo unaoonesha maadili ya Kiislamu.
  7. Kufahamu lengo la maisha ya mwanaadamu hapa Ulimwenguni.
  8. Kuelewa historia ya Mitume walioteuliwa (Adam, Nuhu, Ibrahim, Lut, Shuaib, Musa, Issa).
Click here to download all notes in our App
Additional book For Form one EDK
"Elimu ya Dini ya Kiislamu kwa shule za Sekondari kwa kufuata muhtasari wa kila kidato. Pana mfululizo wa vitabu vinne kwa ajili ya kidato cha kwanza hadi ch a nne.Kama ilivyo katika muhtasari' somo la Elimu ya dini yaKiislamu(lslamic Knowledge O'Level)