FORM FIVE NEW SUBJECT COMBINATION 2024 || TAHASUSI MPYA ZILIZOANZISHWA KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2024



What is Subject Combination? Subject Combination refers to the group of subjects that students choose at the beginning of the academic session to study in the course duration be it at the school or university level. This allows them to study multiple subjects at the same time. 

While pursuing a course, there is a set of subjects which are mandatory for all the students, known as “core subjects” while optional subjects are classified as “electives

Tahasusi na Vigezo.

A: Tahasusi za Sayansi ya Jamii

 Pakua Shule   Pakua Orodha

Na.MasomoVigezo
1.History, Geography and Kiswahili (HGK)Mwanafunzi awe amefaulu masomo yote kwa tahasusi husika
2.History, Geography and English Language (HGL)
3.History, Geography and French (HGF)
4.History, Kiswahili and English Language (HKL)
5.History, Geography and Arabic (HGAr)
6.History, Geography and Chinese (HGCh)
7.History, Geography and Economics (HGE)Awe amefaulu History na Geography
8.History, Geography and Fasihi ya Kiswahili (HGFa)Awe amefaulu History, Geography na Kiswahili/Fasihi ya Kiswahili
9.History, Geography and Literature in English (HGLi)Awe amefaulu History, Geography na English language/Literature in English
B: Tahasusi za Lugha

 Pakua Shule   Pakua Orodha

10.Kiswahili, English Language and French (KLF)Awe amefaulu masomo yote kwa tahasusi husika
11.Kiswahili, English Language and Arabic (KLAr)
12.Kiswahili, English Language and Chinese (KLCh)
13.Kiswahili, Arabic and Chinese (KArCh)
14.Kiswahili, Arabic and French (KArF)
15.English Language, French and Arabic (LFAr)
16.English Language, French and Chinese (LFCh)
17.French, Arabic and Chinese (FArCh)
18.History, English Language and French (HLF)
19.History, English Language and Arabic (HLAr)
20.History, English Language and Chinese (HLCh)
C: Business Studies

 Pakua Shule   Pakua Orodha

21.Economics, Business Studies and Accountancy (EBuAc)Awe amefaulu Business Studies/Commerce na Book keeing
22.Economics, Geography and Mathematics (EGM)Awe amefaulu Geography na Mathematics
23.Economics, Commerce and Accountancy (ECAc)Awe amefaulu Commerce na Book Keeping
24.Economics, Computer Science and Mathematics (ECsM)Awe amefaulu Computer Science/ICs na Mathematics
25.Business Studies, Accountancy and Computer Science (BuAcCs)Awe amefaulu Business Studies/Commerce, Book Keeping na Computer Science/Ics
26.Business Studies, Accountancy and Mathematics (BuAcM)Awe amefaulu Business Studies/Commerce, Book Keeping na Mathematics
27.Economics, Business Studies and Islamic Knowledge (EBuI)Awe amefaulu Business Studies/Commerce na Islamic Knowledge
D: Tahasusi za Sayansi

 Pakua Shule   Pakua Orodha

28.Physics, Chemistry and Mathematics (PCM)Mwanafunzi awe amefaulu masomo yote kwa tahasusi husika
29.Physics, Chemistry and Biology (PCB)
30.Physics, Geography and Mathematics (PGM)
31.Chemistry, Biology and Geography (CBG)
32.Physics, Mathematics and Computer Science (PMCs)Mwanafunzi awe amefaulu Physics na Mathematics
33.Chemistry, Biology and Agriculture (CBA)Mwanafunzi awe amefaulu masomo yote kwa tahasusi husika
34.Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition (CBN)
E: Tahasusi za Michezo

 Pakua Shule   Pakua Orodha

35.Biology, Food and Human Nutrition and Sports (BNS)Awe amefaulu Sports na Biology/Human Nutrition
36.English Language, Music and Sports (LMS)Awe amefaulu Sports na English Language/Music
37.Kiswahili, Music and Sports (KMS)Awe amefaulu Sports na Kiswahili/Music
38.Fasihi ya Kiswahili, Music and Sports (FaMS)Awe amefaulu Sports na Fasihi ya Kiswahili/Music
39.Literature in English, Music and Sports (LiMS)Awe amefaulu Sports na Literature in English/Music
40.French, Music and Sports (FMS)Awe amefaulu Sports na French/Music
41.Arabic, Music and Sports (ArMS)Awe amefaulu Sports na Arabic/Music
F: Tahasusi za Sanaa

 Pakua Shule   Pakua Orodha

42.Kiswahili, English Language and Theatre Arts G(KLT)Awe amefaulu Theatre Arts na Kiswahili /English Language
43.Kiswahili, French and Theatre Arts (KFT)Awe amefaulu theatre Arts na Kiswahili /French
44.Fasihi ya Kiswahili, English Language and Theatre Arts (FaLT)Awe amefaulu Theatre Arts na Fasihi ya Kiswahili /English Language
45.Kiswahili, Literature in English and Theatre Arts (KLiT)Awe amefaulu Theatre Arts na Kiswahili /Literature in English
46.Kiswahili, English Language and Music (KLM)Awe amefaulu Music na Kiswahili /English Language
47.Kiswahili, French and Music (KFM)Awe amefaulu Music na Kiswahili /French
48.Fasihi ya Kiswahili, English Language and Music (FaLM)Awe amefaulu Music na Fasihi ya Kiswahili /English Language
49.Kiswahili, Literature in English and Music (KLiM)Awe amefaulu Music na Kiswahili /Literature in English
50.Kiswahili, English Language and Fine Art (KLFi)Awe amefaulu Fine Art na Kiswahili, English Language
51.Kiswahili, French and Fine Art (KFFi)Awe amefaulu Fine Art na Kiswahili/French
52.Fasihi ya Kiswahili, English Language and Fine Art (FaLFi)Awe amefaulu Fine Art na Fasihi ya Kiswahili /English Language
53.Kiswahili, Literature in English and Fine Art (KLiFi)Awe amefaulu Fine Art na Kiswahili/Literature in English
54.Kiswahili, Textile and Garment Construction and Fine Art (KTeFi)Awe amefaulu Garment Construction na Kiswahili/Fine Art
55.English Language, Textile and Garment Construction and Fine Art (LTeFi)Awe amefaulu Garme nt Construction na English Language /Fine Art
56.Arabic, Textile and Garment Construction and Fine Art (ArTeFi)Awe amefaulu Garment Construction
57.Chinese, Textile and Garment Construction and Fine Art (ChiTeFi)Awe amefaulu Garment Construction na Chinese/Fine Art
G: Tahasusi za Elimu ya Dini

 Pakua Shule   Pakua Orodha

58.Islamic Knowledge, History and Geography (IHG)Mwanafunzi awe amefaulu masomo yote kwa tahasusi husika
59.Divinity, History and Geography (DHG)
60.Islamic Knowledge, History and Arabic (IHAr)
61.Divinity, History and English Language (DHL)
62.Islamic Knowledge, History and English Language (IHL)
63.Divinity, History and Kiswahili (DHK)
64.Islamic Knowledge, History and Kiswahili (IHK)
65.Divinity, Kiswahili and English Language (DKL)

Previous Post Next Post